Aonekanaye katika picha ni kijana mtanzania mwenye kipaji cha kuongea lugha ya kikongo.kijana huyu ni mzaliwa wa apa nchini anayeishi nchini apa katika jiji la dar es salaam.jina lake halisi ni Junior benjamini au junior de swagg.Jina lake la kikongo ni "PAPAA MKOLOLO".Watu wengi hupenda kumwita kijana huyu papaaa mkololo.Kiana huyu au PAPAA MKOLOLO ni kijana ambaye alizaliwa Tanzania na kuishi nchini Kongo kwa kipindi kifupi ndipo alipopata ujuzi wa kuongea lugha hii.
Chini ni baadhi ya picha zikimuonyesha kijana huyu katika poz tofauti tofauti

katika pozi


anaza pozi
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni