Jumamosi, 14 Septemba 2013

Jumatatu, 9 Septemba 2013

FUSE ODG IN BONGO JANA

Msanii maarufu nchini Afrika anayefahamika sana na stahili yake ya kucheza iitwayo "azonto" Fuse Odg kutoka nchini ghana alifanya show ya kihistoria nchini apa katika viwanja vya ustawi wa jamii ndani ya jiji la dar es salaam.Msanii huyu anaishi nchini uingereza ndiko makazi yake yalipo.
   zifuatazo ni baadhi ya picha zilizochukuliwa wakati wa show hiyo
             Bband walikuwepo
                        madee&chid wakiangusha balaa
                  janjaroooo
         mashabiki wakimshabikia fuse odg

             wakazi
          hbaba akiwasha moto
              jux alikuwepo

              marcochalii
                   watu walifulika
               aika nahreal kama kawaida yao


       itzzzzzzzz   fuseeeeeeeee
            fuse odg

Jumapili, 8 Septemba 2013

MJASIRIAMALI MTOTO

  aonekanaye katika picha za juu ni mmoja ya wajasiriamali vijana ambaye anaishi songea mjini.Ni kijana mwenye umri wa miaka kumi na saba mwenye asili ya shombimbi.Jina lake halisi ni Salim A bdala,ni mmiliki wa hardware moja iliyopo apa mjini songea maeneo ya soko kuu la mjini apa.Pamoja na yote kwa ufupi kijana uyu ni mmoja wa vijana wanaopenda sana kupendeza[kutupia] na kuluka viwanja[kula bata].Vilevile anaishi katika hoteli moja iliyopo apa songea inayofahamika kwa jina la "UGABE". Kijana huyu ni kijana ambaye ana matumizi mabaya sana ya pesa ama kwa lugha ya wenzetu tumwite "exlavaganti".Pia kijana uyu ni mmoja ya vijana ambao ni wastaarabu na wasio na mapepe ukiachana na tabia zake za matumizi mabaya ya fedha na kuluka viwanja.
    Kijana huyu ni mzaliwa wa saudi arabia na familia yake yote inaishi nchini uko yani mama yake,baba yake na ndugu zake wengine.