Anaitwa G-LUCK ni msanii wa bongo fleva anayetokea mkoani ruvuma mjini songea.Msanii huyu ameweza kupata shavu katika FIESTA 2014 kama super nyota ambapo anazunguka kila mkoa ambao FIESTA inapita.
Ameshawai towa ngoma yake hiitwayo #hayaonekani.
Zifuatazo ni baadhi ya picha za msanii uyo katika pozi tofautitofauti
ndani ya stage katika moja ya show