Jumamosi, 5 Julai 2014
KILLI TOUR SONGEA...
Hizi ni picha nyingine za tamasha la Kili Music Tour ambalo kwa mara ya kwanza limefanyika Songea siku ya Jumapili June 15 na kuwashirikisha mastaa wa muziki wa Tanzania kama Mwasiti, Shilole, Profesa Jay, Ommy Dimpoz, Diamond alieambatana na mpenzi wake Wema Sepetu, Khadija Kopa, Ben Pol na wengine wengi.
Picha zote hizi zimepigwa na ripota wa nguvu, asante sana @Tanganyikan
DAIMOND_PLATNUM ARE 4REVER.....
Staa wa muziki wa kizazi kipya nchini maarufu kwa jina la daimond_platnum au Nassib Abdul alikuwa mshindi wa pili katika tuzo za watu weusi duniani alimaarufu kama BET ambapo aliweza kukutana na wanamuziki mashuhuri duniani kama Neyo,Nelly na wengine kibao ambapo pia daimond alihaidi kuwa nao na kufanya nao kazi baadhi ya wasanii hao zifuatazo ni baadhi ya picha za matukio
akiwa na Nelly wakinena mawili matatu
ni pale alipokutana na Neyo
akiwa na DMK ambaye alikuwa mwenyeji wake
moja ya pozi
akiwa na mke wa marehemu Mr.big
akiwa na Nelly wakinena mawili matatu
ni pale alipokutana na Neyo
moja ya pozi
akiwa na mke wa marehemu Mr.big
Jisajili kwenye:
Maoni (Atom)


































