Jumamosi, 19 Aprili 2014
WHITEFISHO IS COMING.....
A new talent is expected 2be born dat iz bongo flava artist from songea town named Salim Abdalla au WHITEFISHO anatarajia kutoa ngoma yake ya kwanza kali na yakutisha iitwayo WHY ambayo kaifanya apaapa Songea.Katika mahojiano yangu na msanii uyo aliweza kusema anahitaji sababu kutoka kwa mashabiki wake kwani siku zote mwanzo ni mgumu
LICHA YA MAFANIKIO MPOTO ATAKI KUVAA VIATU
licha ya msanii bora wa muziki na mtunzi mzuri wa mashairi apa nchini Tanzania Mrisho Mpoto kupata mafanikio kwa kununua gari la thamani kubwa hivi karibuni lakini msimamo wake umebaki palepale kwamba ataki kuvaa viatu kwa sababu kutembea peku anapata Energy kutoka ardhini ambayo Energy iyo inampa Confidence.zifuatazo ni baadhi ya picha zikimuonesha akiwa na gari la
ke la thamani lakini pia akiwa pekupeku
ke la thamani lakini pia akiwa pekupeku
Jisajili kwenye:
Maoni (Atom)