


aonekanaye katika picha za juu ni mmoja ya wajasiriamali vijana ambaye anaishi songea mjini.Ni kijana mwenye umri wa miaka kumi na saba mwenye asili ya shombimbi.Jina lake halisi ni Salim A bdala,ni mmiliki wa hardware moja iliyopo apa mjini songea maeneo ya soko kuu la mjini apa.Pamoja na yote kwa ufupi kijana uyu ni mmoja wa vijana wanaopenda sana kupendeza[kutupia] na kuluka viwanja[kula bata].Vilevile anaishi katika hoteli moja iliyopo apa songea inayofahamika kwa jina la "UGABE". Kijana huyu ni kijana ambaye ana matumizi mabaya sana ya pesa ama kwa lugha ya wenzetu tumwite "exlavaganti".Pia kijana uyu ni mmoja ya vijana ambao ni wastaarabu na wasio na mapepe ukiachana na tabia zake za matumizi mabaya ya fedha na kuluka viwanja.Kijana huyu ni mzaliwa wa saudi arabia na familia yake yote inaishi nchini uko yani mama yake,baba yake na ndugu zake wengine.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni