Jumamosi, 19 Aprili 2014

LICHA YA MAFANIKIO MPOTO ATAKI KUVAA VIATU

licha ya msanii bora wa muziki na mtunzi mzuri wa mashairi apa nchini Tanzania Mrisho Mpoto kupata mafanikio kwa kununua gari la thamani kubwa hivi karibuni lakini msimamo wake umebaki palepale kwamba ataki kuvaa viatu kwa sababu kutembea peku anapata Energy kutoka ardhini ambayo Energy iyo inampa Confidence.zifuatazo ni baadhi ya picha zikimuonesha akiwa na gari lake la thamani lakini pia akiwa pekupeku

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni