Jumamosi, 19 Aprili 2014

WHITEFISHO IS COMING.....

A new talent is expected 2be born dat iz bongo flava artist from songea town named Salim Abdalla au WHITEFISHO anatarajia kutoa ngoma yake ya kwanza kali na yakutisha iitwayo WHY ambayo kaifanya apaapa Songea.Katika mahojiano yangu na msanii uyo aliweza kusema anahitaji sababu kutoka kwa mashabiki wake kwani siku zote mwanzo ni mgumu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni