Jumatano, 17 Septemba 2014

MPIGIE KURA FOBY KATIKA # kvoosmultimedia.

Ni yule hitmaker wa nyimbo ya #back to me anayetokea songea mkoani ruvuma na kundi la bwela_kuni
Wewe kama mdau wa muziki na shabiki wa muziki unaweza kumpigia kura msanii wa muziki wa bongofleva @Foby Wany ili aweze kushinda tuzo za # kvoosmultimedia za mwezi zinazoshindaniwa na. Baadhi ya wasanii wa bongofleva .
Jina la wimbo ni #back to me ambao tayari umewekwa kwenye blogu kubwa hapa bongo kama @DJ MWANGA na zingine.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni