@PETIT_MAN ATANGAZA KUMUOA DADA YAKE NA DIAMOND AITWAYE @ESMA_KHAN
Meneja wa wasanii wa Endless Fame Petit Money ameweka wazikuwa
taarifa zilizosamba ni za ukweli kuwa anamahusiano na dada yake Diamond
Platnumz ‘Esma Platnumz’ .
Petit amesema ana mapenzi ya ukweli kwa Esma na kwamba anampango wa
kufunga naye ndoa. Petit ameongozea kuwa mpaka sasa Diamond hana tatizo
nae kuwa na dada yake.
Haya Mapenzi yatadumu ?
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni