
Geez Mabovu alifariki dunia kwenye hospitali alikokua amelazwa nyumbani kwao Iringa alipokwenda wiki 2 zilizopita akitokea Dar es salaam. Geez alikuwa anaumwa kifua.
Hizi ni baadhi ya picha za mazishi nilizopata Kutoka kwa Lamar na matukiodaima.co.tz







Hakuna maoni:
Chapisha Maoni