REKODI MPYA YA CRISTIAN RONALDO ALIYOIWEKA WIKI HII
Cristiano Ronaldo ameifungia Ureno goli
la ushindi dhidi ya Armenia Nov 14, 2014 na Goli hilo limemfanya afikishe jumla ya
magoli 23 katika michuano ya ulaya na hivyo kuweka rekodi ya kuwa
mfungaji bora wa muda wote wa michuano hiyo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni