Ijumaa, 25 Julai 2014

VIDEO YA KIPI SIJASIKIA NI KUTUUUU NISHEEDAH

Tazama baadhi ya picha za scene mabalimbali katika uchukuaji wa video ya wimbo unaotamba kwasasa, KIPI SIJASIKIA wa msanii mkongwe wa Bongo Flava, PROF JAY aliomshilikisa bwana ALMASI….Video ya wimbo huu inatarajiwa kuachiwa hivi karibuni
 





Hakuna maoni:

Chapisha Maoni