July
25 Barnaba ametangaza kuwa ndiyo siku atakayotoa video yake ya
Wahaladee ambayo imetengezwa kwenye ardhi mbili ya Tanzania na
Kenya,Soudy Brown leo kaongea nae kuhusu msichana anayesemekana mpenzi
wake kusimamishwa kazi alikokuwa anafanya kazi nyumbani kwa Wema Sepetu.88.1 Clouds Fm inasikika ukiwa Mwanza.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni